Search

612 results for Nasra Abdallah :

  1. Mjane aliyekuwa akilala barabarani ajengewa nyumba

    Mjane Judith Wambura, aliyekuwa akilala kwa miezi miwili mfululizo katika mataa Ubungo jijini hapa, amekabidhiwa nyumba mpya iliyojengwa kwa mchango wa wasamaria wema.

  2. Kamati ya Bunge yagomea mwendokasi Mbagala

    Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Tamisemi imeonya kutofanya majaribio tena ya mabasi ya mwendokasi kipindi cha maonyesho ya Sabasaba

  3. Kamati ya Bunge yacharuka ucheleweshaji huduma mwendokasi Mbagala

    Baada ya kufika katika barabara ya Mbagala wabunge hao walipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa wakala huo, Dk Athumani Kihamia, ambaye aliwaeleza kuwa tayari ujenzi wake umefikia asilimia...

  4. Uongozi Kariakoo, wafanyabiashara wavutana

    Wakati wowote ujenzi wa Soko Kuu la Kariakoo ulioanza mwaka 2022 utakamilika ili kutoa fursa kwa wafanyabiashara kufanya shughuli zao kuku kukiwa na malalamiko ya wadau ya kutoshirikishwa katika...

  5. Rais Samia awasamehe wafungwa 1,082

    Taarifa hiyo imetolewa leo Jumamosi, Aprili 27,2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni.

  6. Mvua zinavyoifanya Zingiziwa iwe eneo gumu la kuishi

    Kwa mujibu wa watumiaji wa daraja hilo, hali iliyopo sasa ni zaidi ya ile iliyokuwepo jana, huku Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA) ikitabiri kuendelea kwa mvua hizo hadi Jumapili ya Aprili...

  7. Asilimia 79 ya wanawake wanasiasa wamedhalilishwa mitandaoni

    Udhalilishaji huo ni pamoja na ukiukwaji wa faragha za mtu, kuchafua sifa ya mtu, vitisho na vurugu za moja kwa moja, maneno na lugha ya kuudhi.

  8. Waliokuwa wapangaji Bonde la Msimbazi kulipwa Sh170,000

    Waliokuwa wapangaji katika nyumba zinazoathiriwa na mradi wa uendelezaji Bonde la Mto Msimbazi wenye mikataba na wasio nayo, wote watafidiwa Sh170,000.

  9. Serikali kutoa mwongozo mahudhurio shuleni wakati wa mvua

    Mwongozo huo kutolewa na Kamishna wa Elimu, ukijumuisha mabadiliko ya ufundishaji

    New Content Item (1)
  10. PRIME Simulizi tukio la mauaji Kigogo Fresh kwa mganga wa jadi

    Mauaji yalitokea Aprili 21, 2024 eneo la Kigogo Fresh, Pugu wilayani Ilala polisi likisema chanzo kinadaiwa kuwa ni baada ya Tazani kumshutumu Mwinyimvua kumwibia mali alizokuwa akilinda.

Page 1 of 62

Next